Date: 
08-07-2017
Reading: 
2 Corinthians 3:1-3 NIV {2 Wakorintho 3:1-3}

SATURDAY 8TH JULY 2017 MORNING                                 

2 Corinthians 3:1-3  New International Version (NIV)

1 Are we beginning to commend ourselves again? Or do we need, like some people, letters of recommendation to you or from you? You yourselves are our letter, written on our hearts, known and read by everyone. You show that you are a letter from Christ, the result of our ministry, written not with ink but with the Spirit of the living God, not on tablets of stone but on tablets of human hearts.

The Apostle Paul writes to the Christians at Corinth.  He says that their lives are like a letter which can be read by people. Their lives give testimony to the ministry of Paul among them.

Your life is also a letter. Who is reading that letter and what do they read? Can they see Christ in your life?

JUMAMOSI 8 JULAI 2017 ASUBUHI                                     

2 KORINTHO 3:1-3

 

1 Je! Tunaanza tena kujisifu wenyewe? Au tunahitaji, kama wengine, barua zenye sifa kuja kwenu, au kutoka kwenu? 
Ninyi ndinyi barua yetu, iliyoandikwa mioyoni mwetu, inajulikana na kusomwa na watu wote; 
mnadhihirishwa kwamba mmekuwa barua ya Kristo tuliyoikatibu, iliyoandikwa si kwa wino, bali kwa Roho wa Mungu aliye hai; si katika vibao vya mawe, ila katika vibao ambavyo ni mioyo ya nyama. 
 

Mtume Paulo anawaandikia Wakristo kule Korintho. Anasema kwamba maisha yao ni kama barua. Watu wanapata ujumbe kutoka maisha yao. Watu wanamwona Yesu na huduma ya Mtume Paulo katika maisha ya Wakristo wa Kanisa la Korintho.

Maisha yako pia ni barua. Nani anasoma na anapata ujumbe gani? Wanasoma habari za Yesu Kristo katika maisha yako?