Date: 
02-06-2018
Reading: 
2 Corinthians 13:14 (2 Wakorintho 13:14 )

SATURDAY 2ND JUNE 2018, MORNING

2 Corinthians 13:14 New International Version (NIV)

14 May the grace of the Lord Jesus Christ, and the love of God, and the fellowship of the Holy Spirit be with you all.

In the above verse, God demonstrates his own love for us in this: While we were still sinners, Christ died for us. {Romans 5:8} It is also used in giving a blessing in our services. As God loves and blesses us, we should equally in turn bless others.

JUMAMOSI TAREHE 2 JUNI 2018

2 Wakorintho 13:14

14Neema ya Bwana Yesu Kristo, na pendo la Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote.

Katika mstari hapo juu, Mungu anaonyesha upendo wake mwenyewe kwetu kwa hili: Wakati tulikuwa bado wenye dhambi, Kristo alikufa kwa ajili yetu. {Warumi 5: 8} Pia mstari hutumiwa kwa kutoa baraka katika ibada na huduma zetu. Kama Mungu anavyotupenda na kutubariki, tunapaswa pia kuwabariki wengine.