Date: 
20-01-2020
Reading: 
1Chronicles 22:19 (1 Mambo ya Nyakati 22:19)

MONDAY 20TH JANUARY 2020  MORNING                                                  

1Chronicles 22:19 New International Version (NIV)

19 Now devote your heart and soul to seeking the Lord your God. Begin to build the sanctuary of the Lord God, so that you may bring the ark of the covenant of the Lord and the sacred articles belonging to God into the temple that will be built for the Name of the Lord.”

The living Church is God’s sanctuary. He dwells in the hearts of His people.  All work for God must begin with us. Therefore we are to work being united in spirit and truth.       


JUMATATU TAREHE 20 JANUARI 2020  ASUBUHI                

2 MAMBO YA NYAKATI 22:19

19 Basi sasa jitieni moyo na nia kumtafuta Bwana, Mungu wenu; inukeni basi, mkamjengee Bwana Mungu mahali patakatifu, ili kulileta sanduku la agano la Bwana, na vyombo vitakatifu vya Mungu, ndani ya nyumba itakayojengwa kwa ajili ya jina la Bwana.

Kanisa lililo hai ni madhabahu ya Mungu. Naye hukaa mioyoni mwa watu wake.  Kazi yoyote ya Mungu ni lazima ianzie ndani yetu. Hivyo na tuitende katika umoja wa roho na kweli.