Date: 
14-11-2017
Reading: 
1 Thessalonians 5:1-11 NIV (1Wathesalonike 5:1-11)

WEDNESDAY  15TH NOVEMBER 2017 MORNING                  

1 Thessalonians 5:1-11 New International Version (NIV)

The Day of the Lord

1 Now, brothers and sisters, about times and dates we do not need to write to you, for you know very well that the day of the Lord will come like a thief in the night. While people are saying, “Peace and safety, ”destruction will come on them suddenly, as labor pains on a pregnant woman, and they will not escape.

But you, brothers and sisters, are not in darkness so that this day should surprise you like a thief. You are all children of the light and children of the day. We do not belong to the night or to the darkness.So then, let us not be like others, who are asleep, but let us be awake and sober. For those who sleep, sleep at night, and those who get drunk, get drunk at night. But since we belong to the day, let us be sober, putting on faith and love as a breastplate, and the hope of salvation as a helmet. For God did not appoint us to suffer wrath but to receive salvation through our Lord Jesus Christ. 10 He died for us so that, whether we are awake or asleep, we may live together with him.11 Therefore encourage one another and build each other up, just as in fact you are doing.

Our Theme this week is ‘He who perseveres unto the end will be saved”. In the words above The Apostle Paul  encourages the church at Thessalonika to look ahead to the day when Christ will return. He reminds them that we won’t get any warning before Jesus comes. We need to be ready always. Let us take note of Paul’s advice. Let us be ready to welcome Jesus when He comes again.

 

JUMATANO TAREHE 15 NOVEMBA 2017 ASUBUHI                    

1 THESALONIKE 5:1-11

1 Lakini, ndugu, kwa habari ya nyakati na majira, hamna haja niwaandikie. 
Maana ninyi wenyewe mnajua yakini ya kuwa siku ya Bwana yaja kama vile mwivi ajavyo usiku. 
Wakati wasemapo, Kuna amani na salama, ndipo uharibifu uwajiapo kwa ghafula, kama vile utungu umjiavyo mwenye mimba, wala hakika hawataokolewa. 
Bali ninyi, ndugu, hammo gizani, hata siku ile iwapate kama mwivi. 
Kwa kuwa ninyi nyote mmekuwa wana wa nuru, na wana wa mchana; sisi si wa usiku, wala wa giza. 
Basi tusilale usingizi kama wengine, bali tukeshe, na kuwa na kiasi. 
Maana walalao usingizi hulala usiku, pia na walewao hulewa usiku. 
Lakini sisi tulio wa mchana, tuwe na kiasi, hali tukijivika kifuani imani na upendo, na chapeo yetu iwe tumaini la wokovu. 
Kwa kuwa Mungu hakutuweka kwa hasira yake, bali tupate wokovu, kwa Bwana wetu Yesu Kristo; 
10 ambaye alikufa kwa ajili yetu, ili tuishi pamoja naye, kwamba twakesha au kwamba twalala. 
11 Basi, farijianeni na kujengana kila mtu na mwenzake, vile vile kama mnavyofanya. 
  

Wazo kuu wiki hii ni “ Mwenye kuvumilia hata mwisho ndiye atakayeokoka”. Mtume Paulo anawakumbusha Wakristo kule Thesalonike kwamba Yesu atarudi tena bila taarifa. Kwa hiyo anasisitiza waishi namna gani. Wawe tayari kumpokea Bwana Yesu akirudi duniani kwa utukufu. Sisi pia tuwe tayari kumpokea Bwana Yesu akifika.