Date: 
31-05-2018
Reading: 
1 John 4:1-3 (1 Yohana 4:1-3)

THURSDAY 31ST MAY 2018, MORNING

1 John 4:1-3 New International Version (NIV)

On Denying the Incarnation

1 Dear friends, do not believe every spirit, but test the spirits to see whether they are from God, because many false prophets have gone out into the world. This is how you can recognize the Spirit of God: Every spirit that acknowledges that Jesus Christ has come in the flesh is from God, but every spirit that does not acknowledge Jesus is not from God. This is the spirit of the antichrist, which you have heard is coming and even now is already in the world.

There are many false Prophets and false teachings in our times. We have to be careful not to be miss-led by checking their teachings to see if they conform to the word of God in the Bible. Even then there are some who use the word of God to their own gains. Read the Bible daily and pray for the Holy Spirit to reveal God's words.

ALHAMISI TAREHE 31 MEI 2018, ASUBUHI

1 YOHANA 4:1-3

1 Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.
2 Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu.
3 Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani.

Katika zama hizi kuna 'Manabii' wengi wa uongo na mafundisho potofu. Tuanpaswa kuwa waangalifu kwa kutoamini kila tunalosikia bila kulipima na neno la Mungu kama lilivyoandikwa katika Biblia. Soma Biblia kila siku na umwombe Roho mtakatifu akufunulie ujumbe wa Mungu.