Watoto wa AzaniaFront wakifanya mazoezi ya kuimba Tamasha - Mei 2014
(Habari picha imeandaliwa na Jane Mhina)
Waliowakilisha kwenye Tamasha lililofanyika Usharika wa Mabibo Farasi
Wakiimba kwenye Tamasha
Baadhi ya waalimu wa Sunday School
Kuangalia Picha zaidi za Tamasha, bofya hapa..
SEMINA YA WAALIMU WA SHULE YA JUMAPILI ILIYOFANYIKA USHARIKA WA MBEZI BEACH
MEI-2014 (Habari picha imeandaliwa na Jane Mhina)
walimu wa Sunday School wakijiandikisha kushiriki semina ya walimu iliyofanyika katika
usharika wa Mbezi Beach
Juu-Mchungaji Stephan akifungua Semina ya walimu wa Sunday School
Mmoja wa wakufunzi akitoa mada kuhusu watoto na malezi ya kimaadili
Walimu kutoka sharika mbalimbali walioudhuria Semina