Event Date: 
09-06-2023

Uongozi wa usharika unapenda kuwatangazia wazazi wa watoto wa shule ya jumapili kuwa tarehe 14-15/06/2023 kutakuwa na kambi ya watoto hapa usharikani muda ni saa 02.30 asubuhi hadi 10:00 jioni masomo yatakayofundishwa ni

  • Afya, mazingira na ukuaji
  • Haki za watoto , wajibu wa watoto
  • Kufahamu na kupinga ukatili
  • Upendo na msamaha
  • Watoto na utandawazi

Na tarehe 17.06.2023 watakwenda usharika wa kitunda relini kuhitimisha mafunzo hayo katika ngazi ya jimbo, kwaajili hiyo tunaomba ushirirkiano wenu wazazi na kuwahimiza watoto kuja kujifunza.

Imetolewa na Uongozi wa Usharika

KKKT Azania Front Cathedral

28 Mei 2023