Date: 
04-01-2018
Reading: 
Lamentations 3:22-24 (Maombolezo 3:22-24)

THURSDAY 4TH JANUARY 2018 MORNING                     

Lamentations 3:22-24  New International Version (NIV)

22 Because of the Lord’s great love we are not consumed,
    for his compassions never fail.
23 They are new every morning;
    great is your faithfulness.
24 I say to myself, “The Lord is my portion;
    therefore I will wait for him.”

God is loving and merciful to us. He does not treat us as we deserve but is willing to forgive our sins whenever we come to Him in humility and repentance. God’s compassions are New every morning. So let us come to God in prayer every morning. It is good to start the day in prayer. But God is always ready to hear our prayers at any time of day or night and wherever we are. Come to God now. Open your heart to Him. Listen to His voice speaking to you. 

ALHAMISI TAREHE 4 JANUARI 2018 ASUBUHI            

MAOMBOLEZO 3:22-24

22 Ni huruma za Bwana kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi. 
23 Ni mpya kila siku asubuhi; Uaminifu wako ni mkuu. 
24 Bwana ndiye fungu langu, husema nafsi yangu, Kwa hiyo nitamtumaini yeye. 
 

Mungu ni mwenye upendo na huruma. Mungu yupo tayari kusamehe dhambi zetu kila wakati tunakuja kwake kwa unenyekevu na toba.  Rehema za Mungu ni mpya kila siku. Basi tuje kwake kila asubuhi. Ni vema kuanza kila siku kwa maombi. Lakini Mungu yupo taari kusikia maombi yetu   wakati wowote mchana na usiku mahali popote tulipo. Njoo sasa kwa Mungu. Fungua moyo wako na usikilize sauti ya Mungu.