Date: 
01-08-2017
Reading: 
Hosea 2:18-23 NIV

TUESDAY  1ST  AUGUST 2017 MORNING                      

Hosea 2:18-23  New International Version (NIV)

18 In that day I will make a covenant for them
    with the beasts of the field, the birds in the sky
    and the creatures that move along the ground.
Bow and sword and battle

    I will abolish from the land,
    so that all may lie down in safety.
19 I will betroth you to me forever;
    I will betroth you in[a] righteousness and justice,
    in[b] love and compassion.
20 I will betroth you in[c] faithfulness,
    and you will acknowledge the Lord.

21 “In that day I will respond,”
    declares the Lord—
“I will respond to the skies,

    and they will respond to the earth;
22 and the earth will respond to the grain,
    the new wine and the olive oil,
    and they will respond to Jezreel.[d]
23 I will plant her for myself in the land;
    I will show my love to the one I called ‘Not my loved one.[e]
I will say to those called ‘Not my people,
[f]’ ‘You are my people’;
    and they will say, ‘You are my God.’”

Footnotes:

  1. Hosea 2:19 Or with
  2. Hosea 2:19 Or with
  3. Hosea 2:20 Or with
  4. Hosea 2:22 Jezreel means God plants.
  5. Hosea 2:23 Hebrew Lo-Ruhamah (see 1:6)
  6. Hosea 2:23 Hebrew Lo-Ammi (see 1:9)

The Prophet Hosea ministered to the people of Israel after the Prophet Amos before the fall of Samaria in 721 BC. The Jewish people at this time had rebelled against God and were worshipping idols.  God called the people to repent and Hosea brought this message to the people. God wanted to show that He still loved His people and wanted to restore them to Himself.

God is patient with us and does not want anyone to perish. But He calls us to repent our sins and obey Him. When we do this we will know great blessings and joy in our lives.     

JUMANNE TAREHE 1 AGOSTI 2017 ASUBUHI                       

HOSEA 2:18-23

18 Nami siku hiyo nitafanya agano na wanyama wa mashamba kwa ajili yao, tena na ndege wa angani, tena na wadudu wa nchi; nami nitavivunja upinde na upanga na silaha vitoke katika nchi, nami nitawalalisha salama salimini. 
19 Nami nitakuposa uwe wangu kwa milele; naam, nitakuposa kwa haki, na kwa hukumu, na kwa ufadhili, na kwa rehema. 
20 Nami nitakuposa kwa uaminifu; nawe utamjua Bwana. 
21 Tena itakuwa siku hiyo, mimi nitaitika, asema Bwana; nitaziitikia mbingu, nazo zitaiitikia nchi; 
22 nayo nchi itaiitikia nafaka na divai na mafuta; nayo yataiitikia Yezreeli. 
23 Nami nitampanda katika nchi kwa ajili yangu mwenyewe; nami nitamrehemu yeye asiyepewa rehema; nami nitawaambia wale wasiokuwa watu wangu, Ninyi ndinyi watu wangu; nao watasema, Wewe ndiwe Mungu wangu.

Nabii Hosea alihudumu kule Israeli baada ya Nabii Amosi kabla ya anguko la Samaria mwaka 721 KK. Wakati huo Waisraeli walikuwa mbali na Mungu na walikuwa wanaabudu sanamu. Hosea aliwahubiria ili watubu dhambi zao. Aliwaonyesha jinsi Mungu anavyowapenda Waisraeli na anatamani kuwarejesha.

Mungu anatupenda sisi sote. Mungu anahitaji tutubu dhambi zetu na tumtii. Tukifanya hivyo tutabarikiwa na kuishi kwa furaha.