Date: 
26-04-2019
Reading: 
Exodus 29:43-46 (Kutoka 29:43-46)

FRIDAY 26TH APRIL 2019 MORNING

Exodus 29:43-46 New International Version (NIV)

43 there also I will meet with the Israelites, and the place will be consecrated by my glory.

44 “So I will consecrate the tent of meeting and the altar and will consecrate Aaron and his sons to serve me as priests. 45 Then I will dwell among the Israelites and be their God. 46 They will know that I am the Lord their God, who brought them out of Egypt so that I might dwell among them. I am the Lord their God.

God promised to dwell with His people Israel. The Tent of the meeting was the visible sign of His presence. Later the Temple took this role. Now our bodies are temples of the Holy Spirit who dwells within all true baptized Christians. God is very close to us .Let us worship and obey Him always.

IJUMAA TAREHE 26 APRILI 2019 ASUBUHI  

Kutoka 29:43-46

43 Nami nitakutana na wana wa Israeli hapo, na hiyo Hema itafanywa takatifu na utukufu wangu. 
44 Nami nitaitakasa hiyo hema ya kukutania, na hiyo madhabahu; pia Haruni na wanawe nitawatakasa, ili wanitumikie katika kazi ya ukuhani. 
45 Na mimi nitakaa kati ya wana wa Israeli, nami nitakuwa Mungu wao. 
46 Nao watanijua kuwa mimi ndimi Bwana, Mungu wao, niliyewaleta watoke katika nchi ya Misri, nipate kukaa kati yao; ni mimi Bwana Mungu wao.

Mungu aliahidi kukaa na watu wake taifa la Israeli. Alama malumu ya uwepo wake ilionekana ilikuwa Hema ya kukutania. Baadaye Hekalu imejengwa na ilichukuwa Nafasi hii. Sasa miili yetu ni hekalu ya Roho Mtakatifu. Mungu yupo ndani yetu sote Wakristo ambao tumebatizwa katika jina la utatu na tunamwamini Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wetu. Yu karibu kabisa. Tumwabudu na tumfuate siku zote.