Yoshua 10:12-14 - 15-10-2021
Isaya 50:4-9 - 14-10-2021
Wenza wa Wachungaji DMP watoa shukrani
Wenza wa wachungaji wa KKKT Sharika za Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP) wametoa shukrani katika Usharika wa Kanisa Kuu Azaniafront Cathedral kama sehemu ya kuadhimisha miaka nane tangu kuanzishwa kwa vicoba ambayo mpaka sasa ina akiba ya takriban Tsh 400,000,000/-. Pia vicoba hiyo hivi karibuni imechaguliwa kuwa vicoba bora katika nyanja ya uwekezaji nchini Tanzania.
Yohana 5:1-9 - 13-10-2021
Yohana 9:24-34 (John) - 12-10-2021
Marko 9:14-26 (Mark) - 11-10-2021
Mithali 7:1-3 (Proverbs) - 08-10-2021
Sikukuu ya Mikael na Watoto 2021
Wazazi waaswa kuwalea watoto katika msingi wa neno la Mungu
"Tuwapende na tuwajali watoto wetu," hayo ni maneno ya kutoka katika Biblia yaliyotumika katika mahubiri yaliyofanyika katika ibada ya Sikukuu ya Mikael na watoto iliyofanyika siku ya Jumapili tarehe 3 Oktoba 2021 katika Usharika wa Kanisa Kuu Azaniafront.
Ezekiel 20:17-26 - 07-10-2021
1 Yohana 2:1-6 ( 1 John 2:1-6) - 06-10-2021
Mathayo 19:13-15 (Mathew) - 05-10-2021
Kumbukumbu la Torati 6:20-25 (Deuteronomy) - 04-10-2021
- ‹ previous
- 2 of 3
- next ›