Thur 1st Dec, Isaiah 1:1-9 (NIV)
01-12-2016
This is a message from God to the people of Judah through the Prophet Isaiah. God is judging His people because of their sins and rebellion.....Maneno haya ni maonyo ya Mungu kwa watu wa Yuda kupitia Nabii Isaya. Mungu anawonya kwa sababu ya uasi wao.
Wed 30th Nov, Romans 13:11-14 (NIV)
30-11-2016
The Apostle Paul, near the end of his letter to the Christians at Rome, wants to remind them to be prepared..Mtume Paulo, karibu na mwisho wa Waraka wake kwa Warumi, anawakumbusha kutafakari kuhusu mwenendo wao.
Tue 29th Nov, John 18:36-37 (NIV)
29-11-2016
Jesus is King of Kings and Lord of Lords. He has all authority and the World is His....Yesu ni Mfalme wa Wafalme na ana mamlaka yote. Yeye aliumba ulimwengu na ni wake.
Mon 28th Nov, Matthew 22:41-46 (NIV)
28-11-2016
The Jewish Holy Scriptures (our Old Testament) prophecy the coming of the Messiah. ...Maandiko matakatifu ya Kiyahudi ambayo sisi Wakristo tunaita Agano la Kale, yanashuhudia ujio wa Masihi.
Sun 27th Nov, Psalm 45:7-9, Romans 13:11-14, Matthew 24:36-44 (NIV)
27-11-2016
Today is the first Sunday in Advent and the beginning of the Church year. Advent is a period of 4 Sundays leading up to Christmas...Leo ni Jumapili ya kwanza katika Majilio na mwanzo wa Mwaka wa Kanisa. Majilio ni kipindi cha Jumapili 4 kuelekea Kristmasi.
Sat 26th Nov, Isaiah 29:18-24
26-11-2016
In this message from God through the prophet Isaiah there are words of encouragement. This is a message of hope....Katika somo la leo, Mungu anasema kupitia Nabii Isaya. Mungu anatoa maneno ya faraja...
Fri 25th Nov, Psalm 22:28 (NIV)
25-11-2016
Everything belongs to God and all people belong to Him. ..Kila kitu ni mali ya Mungu. Kila mtu ni mali ya Mungu.
Thur 24th Nov, Matthew 22:23-33 (NIV)
24-11-2016
The Sadducees did not believe in Eternal life. They asked Jesus the question by posing an unlikely example but their aim was to trick Jesus....Masadukayo hawakuamini kuhusu mbinguni na maisha ya milele. Kwa sababu hii walitoa mfano kumjaribu Yesu.
Tue 22nd Nov, Revelation 22:16-17
22-11-2016
In these words at the end of the Book of Revelation we hear an invitation to come to Christ in faith....Katika maneno haya mwishoni wa kitabu cha Ufunuo wa Yohana tunasikia wito wa kuja kwa Yesu kwa imani.
Mon 21st Nov, Isaiah 52:1-6
21-11-2016
Jerusalem is where God’s temple was built. It was the center of Jewish worship of Jehovah...Tunasoma mengi katika Biblia kuhusu Yerusalemu. Ni Mji mkuu wa Israeli. Ni Mahali patakatifu.

Pages