Genesis 4:1-15 NIV (Mwanzo 4:1-15)
03-03-2018
We need to beware of jealousy and be ready to receive correction. Tujihadhari na wivu na tuwe tayari kusahihishwa. {Pastor P. Chuwa}
Psalm 104:24, John 13:1-17, Genesis 1:31
02-03-2018
We are designed to be God’s Ambassadors here on earth and to rule on His behalf. Mungu alituumba ili kumwakilisha kutawala uumbaji wake hapa duniani. {Pastor P. Chuwa}
2 Samuel 1:13-16 NIV (2Samueli 13-16)
01-03-2018
Human life is sacred from conception to natural death. Maisha ya binadamu wote tangu tumboni wa mamaye hadi kifo cha asili yako mkononi wa Mungu. {Pastor Chuwa}
Exodus 1:8-14 NIV (Kutoka 1:8-14)
26-02-2018
Let's treat other people right. Tuwatendee haki watu wengine. {Pastor P. Chuwa}
Amos 7:1-6 NIV (Amosi 7:1-6)
24-02-2018
Let us pray on behalf of our nation. Tumwombe Mungu kwa ajili ya Taifa letu.
James 1:1-4 NIV (Yakobo 1:1-4)
22-02-2018
Temptations come to test our faith..Majaribu yanakuja kama mtihani wa kupima imani yetu. {Pastor P. Chuwa}
Romans 6:12-14 NIV (Warumi 6:12-14)
21-02-2018
Jesus has died for us to set us free from Satan’s power...Yesu Kristo alikufa msalabani kutuweka huru na utumwa wa shetani. {By Pastor P. Chuwa}
Psalm 139:23-24, Romans 6:12-14, Luke 4:1-15 NIV
18-02-2018
If we depend on God, we will overcome temptations. Tukimtegemea Mungu, tutashinda majaribu. {By Pastor P. Chuwa}
Joel 2:12-14 NIV ( Yoeli 2:12-14 )
17-02-2018
Jesus was willing to die for you so that your sins can be forgiven. Yesu Kristo alijitoa kufa masalabani ili usamehewe dhambi zako. {By Pastor P Chuwa}
Luke 17:1-4 NIV (Luka 17:1-4)
16-02-2018
Forgive others as God forgives us. Wasamehe wengine kama Mungu anavyotusamehe. {By Pastor P. Chuwa}

Pages