Matthew 9:23-26 New International Version (NIV)
21-01-2017
We can call upon Jesus in prayer. Let us talk to Jesus and bring our concerns to Him. ....Sisi tunaweza kumwita Yesu katika maombi. Yesu yu tayari kusikia maombi yetu kila wakati. ..{Presented by Pastor P. Chuwa}
Genesis 9:1-3 New International Version (NIV)
20-01-2017
After destroying evil in the earth with the flood God makes a new covenant with Noah and his family. It is similar to that when God created the world...Baada ya kuangamiza uovu kwa gharika, Mungu alifanya agano jipya na Nuhu na familia yake. Agano kwa sehemu lilifanana na lile Mungu alifanya na watu wa kwanza baada kuumba dunia..{Presented by Pr. P.Chuwa}
John 19:25-27 New International Version (NIV)
19-01-2017
Even in His pain and suffering of the cross Jesus saw His mother in her grief and had compassion on her......Hata katika maumivu na mateso yake msalabani Yesu alimhurumia mama yake.
Colossians 3:18-25 (NIV)
18-01-2017
Let us live out our Christian faith in every area of our lives...Tuiishi Imani yetu ya Kikristo katika maeneo yote ya maisha yetu...[Presented by Pastor Prudence Chuwa.
Psalm 115:12-18 (NIV)
17-01-2017
God is a Great God. He is worthy of our praise. Katika Zaburi hii tunakumbushwa kumsifu na kumwabudu Mungu wetu. Mungu kweli anastahili sifa zetu. ..[Presented by Pr. Chuwa]
Genesis 18:6-15 (NIV)
16-01-2017
Abraham was a man who was faithful to God. Abraham was also very hospitable to strangers. He welcomed the visitors who turned out to be angels with an important message for Abraham and his wife Sarah...Ibrahimu alikuwa mtu wa Imani kwa Mungu. Ibrahimu pia alikuwa mtu mkarimu. Ibahimu na mke wake Sara walikaribisha wageni watatu. Kumbe walikaribisha Malaika wa Mungu wenye ujumbe muhimu kwa Ibrahimu na Sara....[Presented by Pastor P. Chuwa]
Psalm 127, Colossians 3:18-25, Matthew 9:23-26(NIV)
15-01-2017
We may have various problems in our families. Let us call upon Jesus in prayer. ..Labda sisi tunashida mbalimbali katika familia zetu. Tumwite Yesu kwa njia ya maombi. [Presented by Pr. Chuwa}
Acts 22:6-10 (NIV)
14-01-2017
Paul, then called Saul was a Pharisee and he was persecuting Christians probably because he thought they were heretics...Paulo, alikuwa anaitwa Sauli na alikuwa Mfarisayo na alitesa Wakristo labda kwa sababu aliwaona ni waasi. ...[Presented by Pastor P. Chuwa]
Ezekiel 36:22-28 (NIV)
13-01-2017
God promises blessings to His people the nation of Israel. God promises to bless them not because they deserve it but because of the honour of His name...Mungu anaahidi kubariki taifa lake Israeli. Si kwa sababu wanastahili, lakini kwa utukufu wa jina lake. .....[Presented by Pastor Prudence Chuwa]
Acts 16:31-34 (NIV)
12-01-2017
Paul and Silas were imprisoned because of their faith. They did not complain but continued to worship God....Paulo na Sila walifungwa gerezani kwa sababu ya imani yao. Hawakulalamika bali waliendelea kuomba na kumsifu Mungu. ...[Presented by Pastor Prudence Chuwa]

Pages