Usharika wa Kanisa Kuu la Azania Front, kwa mara ya kwanza katika historia, uliandaa safari ya kiimani na maombi katika nchi za Misri na Israel.

Siku ya Jumapili, tarehe 30/10/2022, Usharika wa KKKT Kanisa Kuu Azaniafront Cathedral ulifanya maadhimisho ya sikukuu ya mavuno pamoja na sikukuu

Siku ya Ijumaa, tarehe 14 Octoba 2022 ilifanyika semina ya siku moja kwa Baraza Jipya la Wazee wa Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cathedral.

Kama ilivyoainishwa katika kalenda ya KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Jumapili ya tarehe 2 Oktoba 2022 Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cat

Jumapili ya tarehe 18/09/2022 ilifanyika ibada ya kuwaingiza kazini Wazee wa Kanisa pamoja na Viongozi wa Vikundi waliochaguliwa hivi karibuni kati

Mpendwa Msharika, pata nakala ya Kijarida cha Usharika wa Kanisa Kuu Azaniafront Cathedral kuanzia toleo la kwanza na kuendelea.

Usharika wa KKKT Kanisa Kuu Azania Front Cathedral mnamo tarehe 3 Julai 2022 ulifanya Harambee kwa ajili ya kukusanya fedha kwa ajili ya kuendeleza

Wazee wa Baraza wa Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cathedral tarehe 9 Julai 2022 walifanya ziara katika mtaa wa Tabora ili kujionea maendeleo y

Usharika wa KKKT Kanisa Kuu Azania Front Cathedral mnamo tarehe 1 Julai 2022 uliandaa tamasha la uimbaji lililofanyika usharikani ikiwa ni sehemu y

Kamati ya Afya na Ustawi wa Jamii ya Usharika wa KKKT Kanisa Kuu Azania Front Cathedral hivi karibuni (Juni 25, 2022) iliandaa kambi ya matibabu (A

Pages