Vijana 8 wakiambatana na viongozi 2, walifanya ziara ya wiki 3 katika kanisa rafiki la Kilutheri la Frondenberg, Ujerumani. Katika ziara hiyo walipata nafasi ya kushiriki mambo mbali mbali ya kikanisa, jamii, na mazingira ya wenzao wa Ujerumani. Angalia picha zaidi, View more photos........