Event Date: 03-09-2018Jumapili ya tarehe 2/9/2018, Askofu Malasusa aliwabariki na kuwaingiza rasmi kazini wazee wa baraza kwa kipindi cha 2018-2022. Aidha katika ibada ya asubuhi viongozi wote wa vikundi walibarikiwa na kuingizwa rasmi kazini.