Usharika wa Azania Front ulipokea ugeni kutoka usharika wa Messiah jimbo la Marquete, Michigan nchini Marekani, waliofika tarehe 12/6/2015 na kuondoka 22/6/2015.
Viongozi wa Wakinama (mbele) wanakwaya na wahudumu wa ibada wakielekea kanisani
Chaplain Mzinga alikutana na viongozi wa vikundi usharikani tarehe 15/01/2015, kujadili juu ya
kuboresha huduma ya kueneza Injili. Waliohudhuria ni Viongozi wa Agape Evangelical Singers,
Kwaya kuu, Kwaya ya Upendo, Tarumbeta,Kwaya ya kina mama, Umoja wa wanawake, Kwaya
ya vijana, Fellowship na mwenyekiti wa Kamati ya Uinjilisti.
Tukio hilo lilifanyika kanisani Azania katika ibada zote 2 za kiswahili likiongozwa na Msaidizi wa Askofu Dean
George Fupe akisidiana na Chaplain Charles Mzinga.
Askofu Dr. Alex Malasusa akitoa neno la ufunguzi. Aliyeketi kushoto kwake ni Mch. Helerd Nkini kutoka makao makuu
ya dayosisi ambaye baadae alitoa mada ya utaratibu wa dayosis na mabaraza ya wazee.
.
On 29 June, 2014 Azania Front Cathedral had a privilege of having at her midst
Rev Hartmut Schmidtpott from Schmalkalden Germany. He participated in serving the
Holy Communion to the congregation.
Muonekano wa Kanisa jipya la Usharika wa Ngerengere, Chakechake Pemba