Mkutano Mkuu wa 37 wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), Kiharaka Spiritual Center, Desemba 8, 2024.
Mkutano Mkuu wa 37 wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), Kiharaka Spiritual Center, Desemba 8, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu Mpya wa KKKT Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Mkuu wa Kanisa hilo Mstaafu Dkt. Fredrick Shoo na Maaskofu wengine mara baada ya Ibada Maalum ya Kumuingiza kazini Askofu Dkt Malasusa iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024. Picha: Ikulu
MUDA WA IBADA: Dean Chediel Lwiza pamoja na Chaplain Charles Mzinga wakiongozana na wazee wa kanisa kuelekea katika Nyumba ya Bwana kwa ajili ya ibada takatifu, tarehe 1 Januari 2024. Picha: AZF Media Team
HERI YA MWAKA MPYA 2024: Sehemu ya Washarika wa Azania Front Cathedral katika picha ya pamoja mara baada ya kushiriki ibada ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2024 iliyofanyika tarehe 1 Januari 2024. Picha: AZF Media Team
In the name of our Lord and Saviour Jesus Christ, Karibu sana! Welcome!..to the website of Azania Front Cathedral of the Evangelical Lutheran Church in Tanzania, Eastern and Coastal.Diocese. A communion of people rejoicing in love and peace; blessed and hoping to inherit eternal life through Jesus Christ.