Ephesians 2:11-22 (NIV)
16-02-2017
By faith in Christ, Gentiles and Jews can all be united as God’s people...Kwa njia ya imani, Wayahudi na watu wa mataifa, wanaweza kuwa pamoja katika familia ya Mungu...{Presented by Pastor P. Chuwa}
Romans 3:21-26 (NIV)
15-02-2017
When Rev Dr Martin Luther studied the above passage he obtained peace in his heart. He realized that his sins could be fully forgiven..Mch Dk Martin Luther akisoma na kutafakari maneno hayo juu, alipata amani moyoni. Alielewa kwamba wokovu na msamaha wa dhambi zake vinapatikana..{Presented by Pastor P. Chuwa}
Romans 9:14-18 (NIV)
14-02-2017
Our God is a merciful and loving God who is not willing for any to perish...Mungu ni Mungu wa upendo na huruma. Yesu alikufa kwa binadamu wote. {Prepared by Pastor P. Chuwa}
Jeremiah 31:1-3 (NIV)
13-02-2017
Thank God that He loves you too and He has a good plan for your life. Mungu anakupenda, pia na ana mipango mizuri kwa maisha yako. ..{Prepared by Pastor P. Chuwa}
Psalm 119:89-96, Romans 3:21-26, Matthew 20:1-16 (NIV)
12-02-2017
We receive salvation by Grace. Eternal life is given to all who trust in Jesus Christ as their Lord and savior and who repent their sins. ..Tunapewa wokovu na maisha ya milele kwa neema tu. Hatuwezi kufanya kazi ili tuokoke. {Prepared by Pastor P. Chuwa}
Ephesians 1:11-14 (NIV)
11-02-2017
We have been given the gift of the Holy Spirit to live within us and guide us. What a privilege...Tumepewa Roho Mtakatifu kuishi ndani yetu na kutuongoza katika maisha yetu. Ni neema kuu..{Prepared by Pastor P. Chuwa}
2 Peter 1:19-21 (NIV)
10-02-2017
The Bible is God’s Word. It was written under the inspiration of the Holy Spirit. .Biblia ni Neno la Mungu. Waandishi wa Biblia hawakuandika mawazo yao bali waliongozwa na Roho Mtakatifu..{Prepared by Pastor P. Chuwa}
Exodus 34:29-35 (NIV)
09-02-2017
We have the honour of speaking to God in prayer. Through Jesus Christ we can come freely to God in prayer at any time..Sisi tuna neema ya kuja kwa Mungu katika maombi kila wakati kupitia Yesu Kristo. {Prepared by Pastor P. Chuwa}
2 Corinthians 3:12-18 (NIV)
08-02-2017
It is by Grace that we are saved through faith not of works, so no man should boast...Tumeokolewa kwa neema kwa njia ya imani si kwa matendo ya sheria ili mtua yeyote asijivunie..{Presented by Pastor P. Chuwa}
Isaiah 42:1-9 New International Version (NIV)
07-02-2017
Jesus came for all people. He brings physical and spiritual healing for all people...Yesu Kristo alikuja kwa watu wote. Yesu alikuja kuleta haki na kuwa nuru ya kimataifa. {Presented by Pastor P. Chuwa}

Pages