1 Wafalme 12:8-11 (Kings)
02-10-2021
Omba kuongozwa na Bwana kufikia maamuzi sahihi. ask the Lord for guidance to reach the right decisions. /Heri Buberwa
1 Petro 2:1-5 (Peter)
01-10-2021
Tuweke bidii ya kuendelea kuwa hai katika Kristo. Let us work hard to remain alive in Christ. /Heri Buberwa.
2 Timotheo 2:20-23 (2 Timothy)
30-09-2021
Uovu usiwe sehemu ya maisha yetu. Evil should not be part of our lives. /Heri Buberwa.
Mathayo 6:24-25 (Mathew)
29-09-2021
Yesu anatuita kuchagua kumtumikia yeye. Jesus calls us to choose to serve Him. / Heri Buberwa.
Matendo ya Mitume 1:21-26 (Acts)
28-09-2021
Mtangulize Mungu katika maamuzi yako yote. Put God first in all your decisions. /Heri Buberwa.
Kumbukumbu la Torati 30:15-20 (Deutoronomy)
27-09-2021
Uchaguzi wa Busara. [Choosing wisely.] /Heri Buberwa
Hesabu 14:18-19
25-09-2021
Twende mbele za Mungu kwa toba; atatusamehe. /Heri Buberwa
Isaya 57:16-19 (Isaiah)
24-09-2021
Tubu dhambi zako; Mungu wa huruma anasamehe na kutuponya. Repent of your sins; The God of mercy forgives and heals us. /Heri Buberwa.
Hosea 11:8-11
23-09-2021
Mungu wetu ni mwenye huruma. Our God is a merciful God.
Kutoka 3:7-10
21-09-2021
Tukimlilia Bwana anasikia na yuko tayari kutusaidia. If we cry out to the Lord, He hears and is ready to help us. /Heri Buberwa

Pages