Tue 29th Nov, John 18:36-37 (NIV)
29-11-2016
Jesus is King of Kings and Lord of Lords. He has all authority and the World is His....Yesu ni Mfalme wa Wafalme na ana mamlaka yote. Yeye aliumba ulimwengu na ni wake.
Mon 28th Nov, Matthew 22:41-46 (NIV)
28-11-2016
The Jewish Holy Scriptures (our Old Testament) prophecy the coming of the Messiah. ...Maandiko matakatifu ya Kiyahudi ambayo sisi Wakristo tunaita Agano la Kale, yanashuhudia ujio wa Masihi.
Sun 27th Nov, Psalm 45:7-9, Romans 13:11-14, Matthew 24:36-44 (NIV)
27-11-2016
Today is the first Sunday in Advent and the beginning of the Church year. Advent is a period of 4 Sundays leading up to Christmas...Leo ni Jumapili ya kwanza katika Majilio na mwanzo wa Mwaka wa Kanisa. Majilio ni kipindi cha Jumapili 4 kuelekea Kristmasi.
Sat 26th Nov, Isaiah 29:18-24
26-11-2016
In this message from God through the prophet Isaiah there are words of encouragement. This is a message of hope....Katika somo la leo, Mungu anasema kupitia Nabii Isaya. Mungu anatoa maneno ya faraja...
Fri 25th Nov, Psalm 22:28 (NIV)
25-11-2016
Everything belongs to God and all people belong to Him. ..Kila kitu ni mali ya Mungu. Kila mtu ni mali ya Mungu.
Thur 24th Nov, Matthew 22:23-33 (NIV)
24-11-2016
The Sadducees did not believe in Eternal life. They asked Jesus the question by posing an unlikely example but their aim was to trick Jesus....Masadukayo hawakuamini kuhusu mbinguni na maisha ya milele. Kwa sababu hii walitoa mfano kumjaribu Yesu.
Tue 22nd Nov, Revelation 22:16-17
22-11-2016
In these words at the end of the Book of Revelation we hear an invitation to come to Christ in faith....Katika maneno haya mwishoni wa kitabu cha Ufunuo wa Yohana tunasikia wito wa kuja kwa Yesu kwa imani.
Mon 21st Nov, Isaiah 52:1-6
21-11-2016
Jerusalem is where God’s temple was built. It was the center of Jewish worship of Jehovah...Tunasoma mengi katika Biblia kuhusu Yerusalemu. Ni Mji mkuu wa Israeli. Ni Mahali patakatifu.
Sun 20th Nov 2016, Psalm: 103: 19-22, John 14:1-6, Revelation 21:1-5 (NIV)
20-11-2016
Today is the last Sunday in the church year. Next Sunday the First Sunday in Advent we begin a New Church year. At the end of the church year we always think about the end of the world and the life to come..Leo ni Jumapili ya mwisho mwa mwaka wa Kanisa. Wiki ijayo tunaanza Majilio na mwaka mpya wa kanisa.Kila mwisho mwa mwaka tunajifunza kuhusu mwisho wa dunia na maisha ya milele.
Fri 18th Nov 2016, Revelation 18:1-8
18-11-2016
There is much debate about what exactly is meant by The Great Babylon. Babylon was one of the enemies of Israel. But probably here it is taken to mean all that is immoral and opposed to the one true God...Kuna mawazo mbalimbali kuhusu Babeli mkuu. Je ! Ni mahali halisi? Babeli ilikuwa taifa katika maadui wa taifa la Israeli.

Pages