MARKO  3:14-15 {MARK 3:14-15}
10-06-2017
Anaowatafuta ni wale walio wanafunzi, yaani wale ambao wamemwamini na kumkubali Yesu Kristo na kujitoa kuitenda kazi yake pote walipo...Disciples are those who believe in, accept and take it upon themselves to spread the Gospel of Jesus Christ wherever they are.,{By S. Jengo, Elder}
2 Wakorintho 1:3-10 {2Corinthians 1:3-10}
08-06-2017
Je unapita katika gumu lolote? Una uchungu ndani yako na hakuna awezaye kukufariji? Mgeukie Roho Mtakatifu naye atakupa faraja isiyokwisha katika Jina la Yesu!..Are you so sorrowful that all human attempts at comforting you have failed? The Holy Spirit will reach out and comfort You today, in the name Jesus..{By S. Jengo, Elder}
Matendo 8:26-38 {Acts 8:26-38}
07-06-2017
Unataka Mungu akusaidie! Mungu anatafuta watu walio tayari kutii! ..Are you seeking God! God wants to help us, but He is looking for those who can say "Yes Lord"..{By S. Jengo, Elder}
Psalm 77:11-20, John 4:22-26, Joel 2:28-32 (NIV)
03-06-2017
Today we remember the coming of The Holy Spirit upon the disciples giving them power to preach and evangelize...Leo ni Siku ya Pentekoste. Tunakumbuka jinsi Roho Mtakatifu alishukia wanafunzi kuwawezesha kumshuhudia Yesu...{By Pr. Chuwa}
Matthew 17:14-18 (NIV)
03-06-2017
We can not see Jesus with our physical eyes but through the Holy Spirit Jesus is everywhere..Hatumwoni Yesu kwa macho ya binadamu lakini yupo. Kwa njia ya Roho Mtakatifu Yesu yupo kila mahali .{By Pr. P Chuwa}
DANIEL 9:4-9
02-06-2017
It is good to begin our prayers with praise to God and confessing our sins..Sisi tunapaswa kuanza sala zetu na toba na kumsifu Mungu..{By Pr Chuwa)
Matendo ya Mitume 12: 12-17 {Acts 12:12-17}
30-05-2017
Usipoteze muda kuomba kama ndani mwako huna imani ya kupokea..Don't waste time praying if you do not believe in receiving what you pray for..{By S. Jengo, Elder}
ZABURI 74:1-11; PSALM 74:1-11 (NIV)
26-05-2017
Kila safari ya maisha ina changamoto zake, ina fahari zake, na pia ina kuanguka! Ni lazima ujipange kupambana nazo..Every journey has its challenges, triumphs and failures. You must program your mind to weather the storms..{By S.Jengo, Elder}
KUTOKA 14:15-17; EXODUS 14:15-17 (NIV)
25-05-2017
Uwe na uhakika moyoni kuwa Mungu hataruhusu yanayokuzinga yakuzamishe njiani..Be assured in your heart that God will not let your current predicament drown you...{By Elder S. Jengo}
Isaiah 37:15-20; Luke 15:25-32 (NIV)
22-05-2017
Na kama baada ya kujipanga kote huko, unafika mbele zake bila mahitaji, basi usitarajie kupata kitu toka kwake. If you approach God, and your response is to ask God nothing, I am afraid you will leave empty handed..{By S. Jengo, Elder}

Pages