AZF Cathedral
09/04/2020: Alhamisi - Ibada mbili
- Ibada ya Kiingereza: Saa 11:00 jioni
- Ibada ya Kiswahili: Saa 01:00 usiku
10/04/2020: Ijumaa Kuu - Ibada tatu
- Ibada ya Kiswahili: Saa 02:00 asubuhi
- Ibada ya Kiingereza: Saa 04:00 asubuhi
- Ibada ya Kiswahili + Igizo la Pasaka: Saa 08:00 mchana
12/04/2020: Jumapili (PASAKA) - Ibada tatu
- Ibada ya Kiswahili: Saa 01:00 asubuhi
- Ibada ya Kiingereza: Saa 03:00 asubuhi
- Ibada ya Kiswahili: Saa 04:30 asubuhi
13/04/2020: Jumatatu ya Pasaka - Ibada moja
- Ibada ya Kiswahili: Saa 02:00 asubuhi