Date: 
29-03-2018
Reading: 
Psalm 147:1-6, Matthew 26:26-30, 1 Corinthians 11:23-28

THURSDAY 29TH MARCH 2018  -  HOLY THURSDAY

THEME: THE BODY AND BLOOD OF JESUS CHRIST FOR ETERNAL LIFE

Psalm 147:1-6, Matthew 26:26-30, 1 Corinthians 11:23-28

Psalm 147:1-6 New International Version (NIV)

Praise the Lord.[a]

How good it is to sing praises to our God,
    how pleasant and fitting to praise him!

The Lord builds up Jerusalem;
    he gathers the exiles of Israel.
He heals the brokenhearted
    and binds up their wounds.
He determines the number of the stars
    and calls them each by name.
Great is our Lord and mighty in power;
    his understanding has no limit.
The Lord sustains the humble
    but casts the wicked to the ground.

Footnotes:

  1. Psalm 147:1 Hebrew Hallelu Yah; also in verse 20

 

Matthew 26:26-30  New International Version (NIV)

26 While they were eating, Jesus took bread, and when he had given thanks, he broke it and gave it to his disciples, saying, “Take and eat; this is my body.”

27 Then he took a cup, and when he had given thanks, he gave it to them, saying, “Drink from it, all of you. 28 This is my blood of the[a]covenant, which is poured out for many for the forgiveness of sins. 29 I tell you, I will not drink from this fruit of the vine from now on until that day when I drink it new with you in my Father’s kingdom.”

30 When they had sung a hymn, they went out to the Mount of Olives.

Footnotes:

  1. Matthew 26:28 Some manuscripts the new

1 Corinthians 11:23-28 New International Version (NIV)

23 For I received from the Lord what I also passed on to you: The Lord Jesus, on the night he was betrayed, took bread, 24 and when he had given thanks, he broke it and said, “This is my body, which is for you; do this in remembrance of me.” 25 In the same way, after supper he took the cup, saying, “This cup is the new covenant in my blood; do this, whenever you drink it, in remembrance of me.” 26 For whenever you eat this bread and drink this cup, you proclaim the Lord’s death until he comes.

27 So then, whoever eats the bread or drinks the cup of the Lord in an unworthy manner will be guilty of sinning against the body and blood of the Lord. 28 Everyone ought to examine themselves before they eat of the bread and drink from the cup.

Today we remember the day when Jesus gathered with the Apostle’s in the Upper room to celebrate the Jewish Passover. He had done this before but this time was special. Jesus started the Sacrament of Holy Communion. All this happened on the night when Jesus was betrayed by Judas. It was the night before Good Friday when Jesus died on the cross to save us from our sins.

Remember to come to our service at 7pm and receive Holy Communion and be strengthened on your faith.

ALHAMISI TAREHE 29 MACHI 2018 ALHAMISI KUU

WAZO KUU: MWILI NA DAMU YA YESU KWA UZIMA WA MILELE

Zaburi 147:1-6,  Mathayo 26:26-30, 1 Korintho 11:23-28

 

Zaburi 147:1-6

1 Haleluya. Msifuni Bwana; Maana ni vema kumwimbia Mungu wetu, Maana kwapendeza, kusifu ni kuzuri. 
Bwana ndiye aijengaye Yerusalemu, Huwakusanya waliotawanyika wa Israeli. 
Huwaponya waliopondeka moyo, Na kuziganga jeraha zao. 
Huihesabu idadi ya nyota, Huzipa zote majina. 
Bwana wetu ni mkuu na mwingi wa nguvu, Akili zake hazina mpaka. 
Bwana huwategemeza wenye upole, Huwaangusha chini wenye jeuri. 

Mathayo 26:26-30

26 Nao walipokuwa wakila Yesu alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa wanafunzi wake, akasema, Twaeni, mle; huu ndio mwili wangu 
27 Akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, akisema, Nyweni nyote katika hiki; 
28 kwa maana hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi. 
29 Lakini nawaambieni, Sitakunywa kabisa tangu sasa uzao huu wa mzabibu, hata siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu. 
30 Nao walipokwisha kuimba, wakatoka nje kwenda mlima wa Mizeituni. 

1 Korintho 11:23-28

23 Kwa maana mimi nalipokea kwa Bwana niliyowapa nanyi, ya kuwa Bwana Yesu usiku ule aliotolewa alitwaa mkate, 
24 naye akiisha kushukuru akaumega, akasema, Huu ndio mwili wangu ulio kwa ajili yenu; fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu. 
25 Na vivi hivi baada ya kula akakitwaa kikombe, akisema, Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu; fanyeni hivi kila mnywapo, kwa ukumbusho wangu. 
26 Maana kila mwulapo mkate huu na kukinywea kikombe hiki, mwaitangaza mauti ya Bwana hata ajapo. 
27 Basi kila aulaye mkate huo, au kukinywea kikombe hicho cha Bwana isivyostahili, atakuwa amejipatia hatia ya mwili na damu ya Bwana. 
28 Lakini mtu ajihoji mwenyewe, na hivyo aule mkate, na kukinywea kikombe. 

Leo ni siku muhimu katika kalenda ya Kanisa. Leo tutakumbuka siku ambayo Yesu aliweka Sakramenti ya Chakula cha Bwana. Siku mmoja kabla kufa msalabani Yesu alikusanyika na wanafunzi wake kwenye chumba cha juu. Walisherekea Siku kuu ya Wayahudi ya Pasaka. Siku ile Yesu alianzisha Sakramenti ya chakula cha Bwana.

Njoo kusali leo jioni saa 1, Kanisa Kuu Azania Front. Utajifunza zaidi na utapokea Sakramenti takatifu ya Mwili na Damu y a Yesu Kristo.