Date: 
19-04-2017
Reading: 
Matthew 28:11-15 (NIV)

WEDNESDAY 19TH APRIL 2017 MORNING                          

Matthew 28:11-15  (NIV)

The Guards’ Report

11 While the women were on their way, some of the guards went into the city and reported to the chief priests everything that had happened.12 When the chief priests had met with the elders and devised a plan, they gave the soldiers a large sum of money, 13 telling them, “You are to say, ‘His disciples came during the night and stole him away while we were asleep.’ 14 If this report gets to the governor, we will satisfy him and keep you out of trouble.” 15 So the soldiers took the money and did as they were instructed. And this story has been widely circulated among the Jews to this very day.

Notice how the truth of the resurrection of Jesus Christ was hidden.  The Jewish religious leaders did not want to believe the truth.  They also did not want others to believe.

Many people have tried to disprove the resurrection of Jesus Christ.  But there is much strong evidence that it is true.

We thank God that Jesus died for us and rose again and is alive for evermore. 

JUMATANO TAREHE 19 APRILI 2017 ASUBUHI                     

MATHAYO 28:11-15

11 Nao wale walipokuwa wakienda, tazama, baadhi ya askari waliingia mjini, wakawapasha wakuu wa makuhani habari za mambo yote yaliyotendeka. 
12 Wakakusanyika pamoja na wazee, wakafanya shauri, wakawapa askari fedha nyingi, 
13 wakisema, Semeni, ya kwamba wanafunzi wake walikuja usiku, wakamwiba, sisi tulipokuwa tumelala. 
14 Na neno hili likisikilikana kwa liwali, sisi tutasema naye, nanyi tutawaondolea wasiwasi. 
15 Basi wakazitwaa zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa. Na neno hilo likaenea kati ya Wayahudi hata leo. 
 

Viongozi wa dini ya Kiyudi hawakutaka kuamini kwamba Yesu alifufuka. Pia walitaka kuficha ukweli huo ili watu wengine wasiamini.

Mpaka leo watu wengi wanakanusha ukweli wa ufufuo. Lakini kuna ushahidi wa kutosha kwamba Yesu ndiye alifufuka kama mshindi. Yesu yu hai hadi leo. Yesu alitufia msalabani na amefufuka kama mshindi. Tusiwe na hofu.