Hii ni desturi ya kina mama wa Jimbo la kati kila mwaka kukutana katika sharika fulani na kumwimbia Bwana.

Mwaka 2015 Wakina mama wa jimbo la kati, walikusanyika katika Tamasha la uimbaji lililofanyika usharika wa KKKT Mongolandege, kwa nia moja tu ya kumwinua Bwana kwa nyimbo, shangwe na vigelegele.

Hakika siku hiyo ilikuwa ya furaha kwa kila ambaye alikuwa maeneo ya Mongolandege, Roho mtakatifu alishuka mahali pale na watu walikolewa kwa nyimbo za kutoka katika kwaya za usharika mbalimbali hakika watu walimuona Bwana kwa uimbaji.

Tamasha hilo lilifunguliwa na Mchungaji Mamford Kijalo, pia Mchungaji Kijalo alitoa neno la ufunguzi ambalo lilikuwa linaezea kuhusu wito na utumishi wa kumwimbia Bwana, Alinukuu katika kitabu cha Kutoka 15:1 hadi 5.

Katika Tamasha hilo zilishiriki kwaya zaidi ya 25 kutoka katika sharika na mitaa kutoka jimbo la kati.

tamasha la mongolandege01

Baadhi ya kinamama wa kwaya ya kinamama katika picha ya pamoja baada ya Tamasha

tamasha la mongolandege02

Baadhi ya kwaya ya kinamama walioshiriki katika uimbaji

tamasha la mongolandege03

Baadhi ya wachungaji na wageni waalikwa washiki Tamasha

tamasha la mongolandege04

Baadhi ya wanakwaya walioshiriki katika tamasha la uimbaji

tamasha la mongolandege05

Kinamama wakiimba

tamasha la mongolandege06

Kinamama wakiimba wimbo wa kienyeji

tamasha la mongolandege09

Kwaya ya Kariakoo wakishiriki katika uimbaji

tamasha la mongolandege10

Mama Askofu Erica Malasusa (Kulia Mwisho) akiwa na viongozi wa umoja wa wanawake wa Azania Front

tamasha la mongolandege11

Mchungaji Kijalo akiwa na mfatiliuaji wa uimbaji katika tamasha

tamasha la mongolandege12

Mchungaji Kijalo akifungua tamasha

tamasha la mongolandege13

Moja wapo za kwaya zilizoshiriki Tamasha la uimbaji

tamasha la mongolandege14

Mwalimu Upendo akiimbisha kwaya

tamasha la mongolandege15

Mwenyekiti mama Kileo (Kushoto mwisho), mama Askofu mama Malasusa (Kati) wakifurahi baada ya uimbaji

tamasha la mongolandege16

Kulia ni Mwenyekiti wa malezi wa kinamama na watoto wa jimbo la kati

tamasha la mongolandege17

Parish worker Fedelia Urasa (wa pili kushoto) akiwa na wanakwaya wenzake katika picha ya pamoja

tamasha la mongolandege18

Uimbaji ukiendelea

tamasha la mongolandege19

Umati wa kinamama kutoka sharika mbalimbali walioshiki tamasha

tamasha la mongolandege20

Viongozi wa kwaya ya wanawake wakiwa na baadhi ya wanakwaya

tamasha la mongolandege21

Viongozi wa umoja wa wanawake Azania Front

tamasha la mongolandege22

Wakinamama katika picha ya ukumbusho baada ya tamasha la uimbaji kumalizika

tamasha la mongolandege23

Wakinamama katika uimbaji

tamasha la mongolandege24

Wakinamama kutoka kwaya mbalimbali za usharika wa Azania Front katika picha ya pamoja

tamasha la mongolandege25

Wakinamama wa Azania front wakiimba katika Tamasha

tamasha la mongolandege26

Wakinamama wa Azania Front wakiingia kuimba

tamasha la mongolandege27

Wakinamama wa Azania Front walioshiki uimbaji katika picha ya pamoja

tamasha la mongolandege28

Wakinamama wa kwaya kuu walioshiki katika uimbaji kwenye picha ya pamoja

tamasha la mongolandege31

Wakinamama wakisubiri uimbaji

tamasha la mongolandege32

Wakinamama wakitoka kwenye uimbaji