Date: 
21-09-2017
Reading: 
Ezra 2:64-70 NIV

THURSDAY  21ST SEPTEMBER 2017 MORNING                     

Ezra 2:64-70 New International Version (NIV)

64 The whole company numbered 42,360, 65 besides their 7,337 male and female slaves; and they also had 200 male and female singers.66 They had 736 horses, 245 mules, 67 435 camels and 6,720 donkeys.

68 When they arrived at the house of the Lord in Jerusalem, some of the heads of the families gave freewill offerings toward the rebuilding of the house of God on its site. 69 According to their ability they gave to the treasury for this work 61,000 darics[a] of gold, 5,000 minas[b] of silver and 100 priestly garments.

70 The priests, the Levites, the musicians, the gatekeepers and the temple servants settled in their own towns, along with some of the other people, and the rest of the Israelites settled in their towns.

Footnotes:

  1. Ezra 2:69 That is, about 1,100 pounds or about 500 kilograms
  2. Ezra 2:69 That is, about 3 tons or about 2.8 metric tons 

We read here about the freewill offerings which the people gave to build the House of God. Each person gave willingly according to his or her ability.

Let us think about our giving. Do we give our offerings willingly? Do we pray that God would guide us as to when, where and how much to give. 

ALHAMISI TAREHE 21 SEPTEMBA 2017 ASUBUHI                          

EZRA 2:64-70

64 Basi hilo kusanyiko lote zima, jumla yake ilikuwa watu arobaini na mbili elfu na mia tatu na sitini, 
65 tena, zaidi ya hao, kulikuwa na watumishi wao waume kwa wake, ambao walikuwa saba elfu, na mia tatu na thelathini na saba; nao walikuwa na waimbaji waume kwa wake mia mbili. 
66 Farasi zao walikuwa mia saba thelathini na sita; nyumbu zao, mia mbili arobaini na watano; 
67 ngamia zao, mia nne thelathini na watano; punda zao elfu sita, na mia saba na ishirini. 
68 Na baadhi ya wakuu wa mbari za baba zao, hapo walipoifikilia nyumba ya Bwana, iliyoko Yerusalemu, walitoa mali kwa ukarimu kwa ajili ya nyumba ya Mungu, ili kuisimamisha mahali pake; 
69 wakatoa kadiri walivyoweza, na kutia katika hazina ya kazi hiyo, darkoni za dhahabu sitini na moja elfu ,na nane za fedha elfu tano,na mavazi mia ya makuhani. 
70 Hivyo makuhani, na Walawi, na baadhi ya watu, na waimbaji, na mabawabu, na Wanethini, wakakaa mijini mwao, naam, Israeli wote wakakaa mijini mwao.

 

Waisraeli walitoa sadaka zao kwa hiari kujenga Nyumba ya Bwana. Kila mmoja alitoa kwa uwezo wake.

Tafakari kuhusu sadaka zako. Je! Unatoa kwa furaha kwa kazi ya Mungu. Unamwomba Mungu akuongoza lini, wapi na kiasi gani umtolee?