Mungu hutupigania siku zote. /Heri Buberwa.
Isaya 11:1-9
07-12-2021
Yesu atarudi kwa utukufu kulichukua kanisa lake kama alivyoahidi. /Heri Buberwa.
Tito 1:1-4 (Titus)
02-12-2021
Neno la Mungu ndiyo kweli idumuyo milele. The Word of God is the eternal truth. /Heri Buberwa.
Warumi 14:17-19
01-12-2021
Chukua hatua ya imani kuuendea uzima wa milele ukiishi kwa kumpendeza Mungu. /Heri Buberwa.
Wathesalonike 2:1-16
30-11-2021
Jihadhari na kuyumbishwa na manabii wa uongo, mtazame Yesu Kristo tu. /Heri Buberwa.