Event Date:
10-12-2024
Hizi hapa ni baadhi ya picha za matukio tofauti tofauti kutoka kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP) uliofanyika katika ukumbi wa Kiharaka Spiritual Center, Desemba 8, 2024 ukiongozwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ambaye pia ni Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Baba Askofu, Dkt. Alex Gehaz Malasusa.