Date: 
01-12-2018
Reading: 
Mark 12:18-20

ATURDAY 1ST DECEMBER 2018 MORNING                       

Mark 12:18-27 New International Version (NIV)

Marriage at the Resurrection

18 Then the Sadducees, who say there is no resurrection, came to him with a question. 19 “Teacher,” they said, “Moses wrote for us that if a man’s brother dies and leaves a wife but no children, the man must marry the widow and raise up offspring for his brother. 20 Now there were seven brothers. The first one married and died without leaving any children. 21 The second one married the widow, but he also died, leaving no child. It was the same with the third. 22 In fact, none of the seven left any children. Last of all, the woman died too. 23 At the resurrection[a]whose wife will she be, since the seven were married to her?”

24 Jesus replied, “Are you not in error because you do not know the Scriptures or the power of God? 25 When the dead rise, they will neither marry nor be given in marriage; they will be like the angels in heaven.26 Now about the dead rising—have you not read in the Book of Moses, in the account of the burning bush, how God said to him, ‘I am the God of Abraham, the God of Isaac, and the God of Jacob’[b]? 27 He is not the God of the dead, but of the living. You are badly mistaken!”

Footnotes:

Mark 12:23 Some manuscripts resurrection, when people rise from the dead,

Mark 12:26 Exodus 3:6

.The topic for today is very similar to the sermon passage last Sunday. The Sadducees by giving this example were trying to disprove the resurrection. They did not believe in life after death or heaven. Jesus points out that they are mistaken.

As Christians we do believe in Eternal Life. Let us be ready.

    

JUMAMOSI TAREHE 1 DISEMBA 2018 ASUBUHI                   

MARKO 12:18-27

18 Kisha Masadukayo, watu wasemao ya kwamba hakuna kiyama, wakamwendea, wakamwuliza na kusema, 

19 Mwalimu, Musa alituandikia ya kwamba ndugu ya mtu akifa, akamwacha mkewe wala hana mtoto, ndugu yake amtwae yule mkewe akampatie ndugu yake mzao. 

20 Basi kulikuwa na ndugu saba, wa kwanza akatwaa mke, akafa, asiache mzao. 

21 Wa pili naye akamtwaa akafa, wala yeye hakuacha mzao. Na wa tatu kadhalika; 

22 hata na wote saba, wasiache mzao. Mwisho wa wote yule mwanamke akafa naye. 

23 Basi, katika kiyama atakuwa mke wa yupi katika hao? Maana wote saba walikuwa naye. 

24 Yesu akajibu, akawaambia, Je! Hampotei kwa sababu hii, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu? 

25 Kwa maana watakapofufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika walioko mbinguni. 

26 Na kwa habari ya wafu ya kwamba wafufuliwa, hamjasoma katika kitabu cha Musa, Sura ya Kijiti, jinsi Mungu alivyomwambia, akisema, Mimi ni Mungu wa Ibrahimu, na Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo? 

27 Yeye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai. Hivyo mwapotea sana. 

 

Somo la leo inafanana na ile ya mahubiri wa jumapili iliyopita. Masadukayo hawakuamini kuhusu maisha ya milele. Walitoa mfano kwa Yesu kwa sababu walitaka kupinga maisha baada ya kifo.

Yesu aliwaeleza jinsi wamekosea.

Sisi Wakristo tunaamini ufufuo, maisha ya milele na Mbinguni. Ni muhimu tuishi vizuri hapa duniani kujianaa kwa maisha ya baadaye.