Date: 
21-10-2016
Reading: 
Job 19:22-27New International Version (NIV)

DAILY WORD SATURDAY 22ND OCTOBER 2016 MORNING    
Job 19:22-27 New International Version (NIV)
22 Why do you pursue me as God does?     Will you never get enough of my flesh?
23 “Oh, that my words were recorded,     that they were written on a scroll, 24 that they were inscribed with an iron tool on[a] lead,     or engraved in rock forever! 25 I know that my redeemer[b] lives,     and that in the end he will stand on the earth.[c] 26 And after my skin has been destroyed,     yet[d] in[e] my flesh I will see God; 27 I myself will see him     with my own eyes—I, and not another.     How my heart yearns within me!
Footnotes:
Job 19:24 Or and
Job 19:25 Or vindicator
Job 19:25 Or on my grave
Job 19:26 Or And after I awake,

Though this body has been destroyed.

This is the testimony of Job. He suffered a lot in his life. But he did not give up his faith in God. He knew that he would see God his redeemer.
Do you have such a strong faith or do you easily become discouraged. Let us learn from Job and put our faith and hope in our Saviour Jesus Christ.


JUMAMOSI TAREHE 22 OKTOBA 2016 ASUBUHI            
Ayubu 19:22-27
22 Mbona ninyi mnaniudhi kama Mungu, Wala hamkutosheka na nyama yangu?  23 Laiti maneno yangu yangeandikwa sasa! Laiti yangeandikwa kitabuni!  24 Yakachorwa katika mwamba milele, Kwa kalamu ya chuma na risasi.  25 Lakini mimi najua ya kuwa Mteteaji wangu yu hai, Na ya kuwa hatimaye atasimama juu ya nchi.  26 Na baada ya ngozi yangu kuharibiwa hivi, Lakini, pasipokuwa na mwili wangu nitamwona Mungu;  27 Nami nitamwona mimi nafsi yangu, Na macho yangu yatamtazama, wala si mwingine. Mtima wangu unazimia ndani yangu. 


Huu ni ushuhuda wa Ayubu. Alikuwa mcha Mungu. Aliteswa sana katika maisha yake lakini hakukata tamaa.  Aliendelea  kumtumaini Mungu.
Wewe Je ! una imani
kama ya Ayubu? Tumtegemee Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wetu.