Exodus 3:1-6 (Kutoka 3:1-6)
05-02-2020
God has called us for the special purpose to accomplish His plan. Mungu ametuita kwa kusudi maalum ili kutimiza mpango wake..../Pastor J. Mlaki
Isaiah 8:19-22
03-02-2020
God want's us to come directly to him with our needs. Mungu anataka tumwendee yeye moja kwa moja kwa mahitaji yetu. .../Pastor J. Mlaki
Psalm 36:1-10 (Zaburi 36:1-10)
31-01-2020
God is most glorified in us when we are most satisfied in Him. Mungu anatukuzwa zaidi ndani yetu pale tunapokuwa na utoshelevu ndani yake..../Pastor J. Mlaki
Genesis 30:22-27 (Mwanzo 30:22-27)
29-01-2020
Trust God all the time. Mwamini Mungu kila wakati..... /Pastor J. Mlaki
Psalm 115:11-18  (Zaburi 115:11-18
28-01-2020
 God is the help and shield to those who trust in him. Mungu ni msaada na ngao kwa wale wanaomtumaini../Pastor J Mlaki
1 Corinthians 3:16-23
24-01-2020
We belong to our faithful Savior. Sisi tu mali yake mwokozi wetu mwaminifu..../Pastor J. Mlaki
Romans 11:13-24
21-01-2020
All can be saved by God's Grace. Yeyote anaweza kuoka kwa Neema za Mungu..../Pastor J. Mlaki
1Chronicles 22:19 (1 Mambo ya Nyakati 22:19)
20-01-2020
All work for God must begin with us. Kazi yoyote ya Mungu ni lazima ianzie ndani yetu.../Pastor J. Mlaki
Ezikiel 36:22-28
18-01-2020
The human heart is the center of personality. Moyo wa binadamu ndio asili ya utu wake. {Pastor J Mlaki}
Mark 1:8-11
17-01-2020
Jesus is the Son of God. Yesu ni Mwana wa Mungu. ..Pastor J. Mlaki

Pages