Event Date:
31-12-2025

Hii hapa ratiba kamili ya Ibada za Sikukuu ya Mwaka Mpya 2026 kama ambavyo zitafanyika katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front.
Wote mnakaribishwa nyumbani kwa Bwana kusherehekea Neema na Baraka za Kumaliza Mwaka 2025 na Kuanza Mwaka Mpya 2026.

Kwa wageni tumia kiunganishi hiki kupata ramani na maelekezo jinsi ya kufika Usharikani Azania Front Cathedral: https://maps.app.goo.gl/WFvv489y7GatQd9S6
KARIBUNI SANA!
