Event Date: 
24-12-2025

Hii Hapa Ratiba Kamili ya Ibada zote za Msimu wa Sikukuu ya Krismasi 2025 katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front.

Wote mnakaribishwa nyumbani kwa Bwana kusherehekea Sikukuu hii muhimu.

Kwa wageni tumia kiunganishi hiki kupata ramani na maelekezo jinsi ya kufika Usharikani Azania Front Cathedral: https://maps.app.goo.gl/WFvv489y7GatQd9S6

KARIBUNI SANA!