Event Date:
13-09-2025

Usharika wa KKKT Kanisa Kuu Azania Front umeandaa safari ya kiimani, kimafunzo na kimaombi katika nchi za Misri, Israel, Jordan, Italia, Ugiriki na Uturuki kuanzia mwezi Machi 15 mwaka 2026. Safari hii itakuwezesha kuitembelea biblia katika Agano la Kale na Agano Jipya huku ukijifunza na kufanya maombi.
Karibu ujipatie taarifa sahihi kupitia kipeperushi hiki: Mwongozo & Gharama za Safari za Kiimani 2025
Kwa maelezo zaidi wasiliana na Ofisi ya Chaplain - Azania Front Cathedral au Waratibu wa safari kupitia namba na simu zifuatazo; 0753-028 500, 0784-32 33 23, 0787-763 489 & 0754-31 60 70.
Karibuni sana!