Event Date: 
23-12-2017

                                              SALAMU ZA KRISMASI

“Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani.” (Isaya 9:6)


                                             CHRISTMAS GREETINGS

‘For unto us a child is born, to us a son is given, and the government will be on His shoulders. And He will be called Wonderful Counsellor, Everlasting Father, Prince of Peace.”( Isaiah 9:6)


Yesu anakuja kuleta furaha na amani katika maisha yetu, anakuja kuliondoa giza lililotanda maisha yetu.

Kwa kuwa yeye ni mshauri wa ajabu, twende kwake ili tupate kushauriwa vema.

Yeye ni Mungu mwenye nguvu, tunapoishiwa nguvu anatutia nguvu.

Kwake tunao uzima wa milele, kwa kuwa yeye ni Mungu wa milele.

Mahali palipo na machafuko yeye analeta amani.

Tumruhusu azaliwe ndani ya mioyo yetu ili tupokee hiyo neema yake.

Kwa niaba ya Baba Askofu Dk Alex Gerhaz Malasusua, Msaidizi wa Askofu Dean Chediel Lwiza na Chaplain Mch Charles Mzinga na Mimi Mch Prudence Chuwa.

Niwatakie heri ya krismas njema yenye baraka tele za Mungu

Karibuni sana kweye Ibada zetu msimu huu wa Kristmasi na Mwaka Mpya. Ratiba ya ibada ni kama ifuatayo:

SIKU

 

 

JUMAPILI

            24 DESEMBA, 2017

USIKU MTAKATIFU

SAA 1:00         

SAA 3:30 ASUBUHI

USIKU MTAKATIFU

SAA 1:00 USIKU

JUMATATU

           25, DESEMBA, 2017

IBADA YA KWANZA

IBADA YA PILI

 

 SAA 1.00   ASUBUHI

SAA 3.30 ASUBUHI

JUMANNE

           26 DESEMBA, 2017

IBADA YA KIPAIMARA KIDAYOSISI

SAA 2.00 ASUBUHI

          31, DESEMBA, 2017

 

IBADA YA KAWADA

 

SAA 1:00 NA SAA 3:30 ASUBUHI

SIKU YA MWISHO YA MWAKA

   SAA 1:00 JIONI

31DESEMBA2017/1JANUARI,2018

  KUAGA MWAKA NA  KUUPOKEA MWAKA MPYA

SAA 5:00-6:30 USIKU

1, JANUARI, 2018

IBADA YAMWAKA MPYA. NA

SAKRAMENTI

SAA 2:00 ASUBUHI

 

 

 

Jesus comes to bring joy and peace in our lives. He comes to remove the darkness with is spread over our lives.

Because Jesus is a Wonderful Counsellor let us go to Him to get  good advice.

In Christ we have Eternal life because He is The Eternal God.

Where there is confusion He brings peace.

Let us allow Him to be born in our hearts so that we receive His Grace. 

 

On Behalf of Bishop Dr Alex Gerhaz Malasusa, Assistant Bishop Dean Chediel Lwiza, Chaplain Rev Charles Mzinga and me Rev Prudence Chuwa

We wish you God’s blessings at Christmas and in the New year.

Welcome to our English and German services as in the time table bellow.

  

DAY

EVENT

TIME

 

SUNDAY

24 DECEMBER, 2017

ENGLISH SERVICE

9:00 AM

SUNDAY

24 DECEMBER, 2017

 

ENGLISH SERVICE & GERMAN SERVICE

 

5.00 PM

MONDAY

25 DECEMBER, 2017

ENGLISH SERVICE

 

9:00AM

 

 

 

SUNDAY

31 DECEMBER, 2017

ENGLISH SERVICE

9.00 AM

SUNDAY

31 DECEMBER, 2017

ENGLISH SERVICE

7.00 PM

MONDAY

1 JANUARY 2018

ENGLISH SERVICE

12:00 NOON

 

 

 

 

 

 

       Please note services will be held in the Mviringo Hall of Luther House except the service on Christmas Eve, Sunday 24th December at 5pm and Monday 1st January at 12 noon which will be held in the Cathedral .