Date: 
03-06-2017
Reading: 
Matthew 17:14-18 (NIV)

SATURDAY 3RD JUNE 2017 MORNING            

Matthew 17:14-18 New International Version (NIV)

Jesus Heals a Demon-Possessed Boy

14 When they came to the crowd, a man approached Jesus and knelt before him. 15 “Lord, have mercy on my son,” he said. “He has seizures and is suffering greatly. He often falls into the fire or into the water. 16 I brought him to your disciples, but they could not heal him.”

17 “You unbelieving and perverse generation,” Jesus replied, “how long shall I stay with you? How long shall I put up with you? Bring the boy here to me.” 18 Jesus rebuked the demon, and it came out of the boy, and he was healed at that moment.

Notice the faith and humility of the man who came to ask Jesus for help to heal his son.

We too can come to Jesus to ask for His help. We can not see Jesus with our physical eyes but through the Holy Spirit Jesus is everywhere and He is willing to hear our prayers.

Come to Jesus in prayer. Tell Him about your joys and sorrows. Ask Him to be involved in every aspect of your life.

JUMAMOSI TAREHE 3 JUNI 2017 ASUBUHI                          

MATHAYO 17:14-18

14 Nao walipoufikia mkutano, mtu mmoja akamjia, akampigia magoti, akisema, 
15 Bwana, umrehemu mwanangu, kwa kuwa ana kifafa, na kuteswa vibaya; maana mara nyingi huanguka motoni, na mara nyingi majini. 
16 Nikamleta kwa wanafunzi wako, wasiweze kumponya. 
17 Yesu akajibu, akasema, Enyi kizazi kisichoamini, kilichopotoka, nitakaa pamoja nanyi hata lini? Nitachukuliana nanyi hata lini? Mleteni huku kwangu. 
18 Yesu akamkemea pepo, naye akamtoka; yule kijana akapona tangu saa ile. 
 

Tazama imani na unyenyekevu wa yule baba akimwomba Yesu aponye mwanaye.

Sisi tunaweza kuiga mfano wake. Hatumwoni Yesu kwa macho ya binadamu lakini yupo. Kwa njia ya Roho Mtakatifu Yesu yupo kila mahali na yu tayari kutusikiliza na tusaidia.

Njoo kwa Yesu katika maombi. Ongea na Yesu. Mshirikishe furaha na shida zako. Mhusishe na kila kitu katika maisha yako.