Date: 
02-11-2018
Reading: 
2 Thessalonians 3:1-10

FRIDAY 2ND NOVEMBER 2018 MORNING          

2 Thessalonians 3:1-10 New International Version (NIV)

Request for Prayer

1 As for other matters, brothers and sisters, pray for us that the message of the Lord may spread rapidly and be honored, just as it was with you. And pray that we may be delivered from wicked and evil people, for not everyone has faith. But the Lord is faithful, and he will strengthen you and protect you from the evil one. We have confidence in the Lord that you are doing and will continue to do the things we command. May the Lord direct your hearts into God’s love and Christ’s perseverance.

Warning Against Idleness

In the name of the Lord Jesus Christ, we command you, brothers and sisters, to keep away from every believer who is idle and disruptive and does not live according to the teaching[a] you received from us. For you yourselves know how you ought to follow our example. We were not idle when we were with you, nor did we eat anyone’s food without paying for it. On the contrary, we worked night and day, laboring and toiling so that we would not be a burden to any of you. We did this, not because we do not have the right to such help, but in order to offer ourselves as a model for you to imitate. 10 For even when we were with you, we gave you this rule: “The one who is unwilling to work shall not eat.”

Footnotes:

  1. 2 Thessalonians 3:6 Or tradition

The Apostle Paul is concerned for the welfare of the Christians at Thessalonica. He also asks them to pray for him and his ministry for the Lord.  Paul set a good example by his hard work. He encourages the church members to follow his example.

May God help us to live according to God’s Word and to be a good example for others to follow.  

IJUMAA TAREHE 2 NOVEMBA 2018 ASUBUHI                    

2 THESALONIKE 3:1-10

1 Hatimaye, ndugu, tuombeeni, neno la Bwana liendelee, na kutukuzwa vile vile kama ilivyo kwenu; 
tukaokolewe na watu wasio haki, wabaya; maana si wote walio na imani. 
Lakini Bwana ni mwaminifu, atakayewafanya imara na kuwalinda na yule mwovu. 
Nasi tumemtumaini Bwana kwa mambo yenu, kwamba mnayafanya tulivyowaagiza, tena kwamba mtayafanya. 
Bwana awaongoze mioyo yenu mkapate pendo la Mungu, na saburi ya Kristo. 
Ndugu, twawaagiza katika jina la Bwana Yesu Kristo, jitengeni nafsi zenu na kila ndugu aendaye bila utaratibu, wala si kwa kufuata mapokeo mliyoyapokea kwetu. 
Mwajua wenyewe jinsi iwapasavyo kutufuata; kwa sababu hatukuenda bila utaratibu kwenu; 
wala hatukula chakula kwa mtu ye yote bure; bali kwa taabu na masumbufu, usiku na mchana tulitenda kazi, ili tusimlemee mtu wa kwenu awaye yote. 
Si kwamba hatuna amri, lakini makusudi tufanye nafsi zetu kuwa kielelezo kwenu, mtufuate. 
10 Kwa kuwa hata wakati ule tulipokuwapo kwenu tuliwaagiza neno hili, kwamba ikiwa mtu hataki kufanya kazi, basi, asile chakula. 

Mtume Paulo alijali Wakristo kule Thesalonike na aliwafundisha vizuri. Pia aliomba washirikiane naye kwa njia ya kumwombea.

Paulo alijitahidi kuwa mfano mzuri wa kuiga kwa kufanya kazi kwa bidii.

Tumwombe Mungu  atusaidie kuishi maisha yamkumpendeza yeye na kuwa mfano mzuri kwa Wakristo wengine kuiga.