Date: 
09-03-2018
Reading: 
2 Chronicles 20:1-5 (2 Nyakati

FRIDAY 9TH MARCH 2018 MORNING                         

2 Chronicles 20:1-5 New International Version (NIV)

Jehoshaphat Defeats Moab and Ammon

1 After this, the Moabites and Ammonites with some of the Meunites[a]came to wage war against Jehoshaphat.

Some people came and told Jehoshaphat, “A vast army is coming against you from Edom,[b] from the other side of the Dead Sea. It is already in Hazezon Tamar” (that is, En Gedi). Alarmed, Jehoshaphat resolved to inquire of the Lord, and he proclaimed a fast for all Judah.The people of Judah came together to seek help from the Lord; indeed, they came from every town in Judah to seek him.

Then Jehoshaphat stood up in the assembly of Judah and Jerusalem at the temple of the Lord in the front of the new courtyard

Footnotes:

  1. 2 Chronicles 20:1 Some Septuagint manuscripts; Hebrew Ammonites
  2. 2 Chronicles 20:2 One Hebrew manuscript; most Hebrew manuscripts, Septuagint and Vulgate Aram

King Jehoshaphat of Judah received bad news that his enemies were coming against his nation with a large army. Jehoshaphat decided to call upon God. He and all the people spent time in prayer and fasting. If you read on in the chapter you will read Jehoshaphat’s prayer and God’s answer. God told the king not to be afraid because the battle belongs to God. God gave the King and people of Judah victory against their enemies.

What is troubling you today? Turn to God in prayer. Humble yourself before God and ask for His help. God will hear and answer your prayer and give you victory.

IJUMAA TAREHE 9 MACHI 2018 ASUBUHI         

2 MAMBO YA NYAKATI 20:1-5

1 Ikawa baadaye, wana wa Moabu, na wana wa Amoni, na pamoja nao baadhi ya Wameuni, wakaja juu ya Yehoshafati vitani. 
Wakaja watu waliomwambia Yehoshafati, wakisema, Wanakuja jamii kubwa juu yako watokao Shamu toka ng'ambo ya bahari; na tazama, wako katika Hasason-tamari (ndio En-gedi). 
Yehoshafati akaogopa, akauelekeza uso wake amtafute Bwana; akatangaza mbiu ya watu kufunga katika Yuda yote. 
Yuda wakakusanyika pamoja ili wamtafute Bwana; hata kutoka miji yote ya Yuda wakaja kumtafuta Bwana. 
Yehoshafati akasimama kati ya kusanyiko la Yuda na Yerusalemu, nyumbani mwa Bwana, mbele ya ua mpya; 

Mfalme Yehoshafati alipata habari mbaya ya kutisha. Maadui zake wanakuja na jeshi  kubwa kumvamia. Mfalme aliogopa lakini alimwiita Mungu. Yeye na Watu wa Yuda waliomba na kufunga. Mungu aliwajibu na aliwatetea na kuwapa ushindi.

Kama una shida ilete kwa Mungu. Kabidhi maisha yako na mwendo wako wote kwa Mungu. Mungu atakupa ushindi.